- 1. Jina la Ministry
- 2. Tafsiri na Utambulisho wa Huduma
- 3. Msingi wa Kibiblia
- 4. Tamko la Imani (Statement of Faith)
- 5. Maono (Vision)
- 6. Mission / Kusudi la Huduma
- 7. Malengo ya Ministry
- 8. Tabia na Nature ya Ministry
- 9. Makao Makuu na Matawi
- 10. Eneo la Uendeshaji
- 11. Uanachama na Ushiriki
- 12. Makundi ya Washiriki
- 13. Haki za Washiriki
- 14. Wajibu wa Washiriki
- 15. Muundo wa Uongozi
- 16. Mamlaka ya Kiroho na Kiutendaji
- 17. Vyeo na Majukumu ya Viongozi
- 18. Bodi / Baraza la Uongozi
- 19. Idara za Ministry
- 20. Mikutano ya Ministry
- 21. Mfumo wa Maamuzi
- 22. Maadili ya Huduma
- 23. Nidhamu na Taratibu za Kinidhamu
- 24. Utatuzi wa Migogoro
- 25. Fedha, Mali na Rasilimali
- 26. Mfumo wa Uhasibu na Uwajibikaji
- 27. Sadaka, Michango na Mapato
- 28. Sera ya Ulinzi wa Watoto
- 29. Sera ya Counseling, Deliverance na Privacy
- 30. Sera ya Media, Branding na Mawasiliano
- 31. Sera ya Uinjilisti, Outreach na Misheni
- 32. Mfumo wa Mafunzo na Ukuaji wa Viongozi
- 33. Mfumo wa Matawi
- 34. Mfumo wa Mapitio ya Katiba
- 35. Kuvunjwa kwa Ministry
- 36. Uidhinishaji na Sahihi
- Viambatianisho
📢 Eneo la Uendeshaji wa Huduma:
Mataifa yote kwa mapenzi ya Mungu, ikiwemo Marekani, Tanzania, na nchi zinginezo ambako huduma itapanuliwa kwa utaratibu wa kiroho na kiutawala.